Ndugu wajasiriamali wetu wapambanaji. Napenda kuwakumbusha kwamba maonyesho yataanza rasmi tarehe 28/06/2025. Tunawataka kila mmoja kujiandaa vizuri kwa mujibu wa mwongozo tuliowatumia awali. Tunawatakia maandalizi mema. Asanteni.